Recent content by does exist

  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaosema Gwajima hana msaada jimboni wanakaa wapi?

    Hapo Japan unaendeleaje na mafunzo ya uvuvi mkuu?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mazda demio 2004-2006

    Mkuu naomba unifafanulie nami nijue hayo madhaifu yake.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mazda demio 2004-2006

    Mkuu naomba unisaidie kujua changamoto technical anazo kutana nazo mmiliki wa pili na je kwenye rough road inahimili, ni weza ishi kijijini angalau kwa mwezi mzima na kurudi dsm bila shida. Natanguliza shukrani mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Noted, asante mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mazda demio 2004-2006

    Habari zenu wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake, magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka angalau 10 kwa mazingira yetu ya Tanzania? NB: Sijawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Habari za wakuu, tafadhalini naomba msaada wa ushauri kwa mwenye kuijua mazda demio ya 2004 -2006 upande wa running cost zake , magonjwa yake na je kuna uwezekano wa kudumu nayo kwa miaka 10 kwa mazingira yetu ya tanzania? NB: SIjawai kumiliki gari nimeona bei ya mazda demio ipo chini kuliko...
Back
Top Bottom