leo bunge la katiba limeanza hivyo kutokana na bunge ilo kukosa kanuni za kuliongoza hivyo kumefanyika uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa muda sasa kuna tatizo limetokea bungeni wajumbe waliotakiwa kupiga kura ambao walihesabiwa walikuwa kama 568 baada ya kula kupigwa zikapitiliza mpaks 587 hapo...
kwa sisi maustadhi kwanza sharia inatuongoza kuwa na wake wenne na huyo najisi hatutumii,weye karudie utafiti wako ukishindwa njoo tanga shehe tukujuze
Nakushauri endelea na kazi yako ya kupiga debe na tafuta bishara za vitumbua na chapati huko ndiyo kwetu.mambo ya michuma huko siko kwako.hiyo laki mbili ni tairi za bodaboda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.