Recent content by DodoR

  1. D

    Veronika wakunifanyia haya Mimi?

    Binti wa 2001 ana watoto 3!! Hio ni speed ya 5G!
  2. D

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Heee!! Hapo kwenye 'Nasikia' ndio umenimaliza kabisa! Duh!! Anyway wewe binafsi unaonaje? Kama unaweza kuishi hivyo sawa vumilia ni suala la muda akimaliza mambo yake atakutafuta.
  3. D

    Nifanyeje? Huyu msichana kanifanya nishindwe kabisa kushiriki tendo la ndoa

    Kama una mawasiliano nae mshauri aende kwa daktari wa wanawake akatibiwe or may be hana hela muwezeshe kidogo, utabarikiwa
  4. D

    Nilikuta Mke wangu kapima Afya bila kunishirikisha, Hongera kwake kwa kujitambua

    Endelea kumpenda mkeo utafurahia maisha, usiyape nafasi mawazo hasi juu ya ndoa yenu
  5. D

    Mwanamke wangu alinidharau baada ya kupata Kijana mwenye gari! Sasa anatamani kuwa na mimi tena

    You are such a sweet guy yani kitendo cha kumsubiri masaa 4 atoke class umsindikize nyumbani ni upendo wa ajabu. Ni vile tu wadada huwa na tamaa lakini kama amejirekebisha msamehe maana inaonyesha unampenda sana.
  6. D

    Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Kemea pepo la kuzini, shetani anakutafuta usikubali mwaya
  7. D

    Nilichojifunza kutoka kwa Khadija

    Khadija/Hadija ila kama uliandika jina lake ulivyoandika - Adija akaliona inawezekana alikumind [emoji30]
  8. D

    Naombeni ushauri wenu maana simuelewi huyu Mwanamke

    Kutokana na maelezo yako achana nae hakufai ila kwa kuwa moyo umependa unaweza pia kuvumilia!! Inshort you have to decide for yourself lakini pia mshirikishe Mungu
  9. D

    Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

    Except for me, mtu wa kuniumiza moyo sitaki bora niwe single
  10. D

    True Story: Kupenda

    Move on bro, achana nae. Jipe muda utamsahau, pole sana
  11. D

    Kwanini wanawake wa mkoa wa Kagera wanapenda wanaume wa mkoa wa Mara?

    Asilimia 95? Ukoo wetu itakuwa ni 5% iliobaki
  12. D

    Huyu mwanamke amekuwa mhitaji sana wa pesa

    Kama una hela msaidoe mwenzio
  13. D

    Asili haijifichi, rasmi nimeamua kuwa Muislam

    Ukristu au uislamu tunaweza kusema ni njia za kuwasiliana na Mwenyezi Mungu kwa hio ni wewe kuamua upande gani utakufaa kutimiza matakwa yake hapa duniani. Kila la kheri kwenye utume na maamuzi yako.
Back
Top Bottom