sallam humu..bila kusahau kwa wale wataohitaji au wanaohitaji nyumba ..viwanja..frame..nk Dodoma msisite kuntafuta tusaidiane kupata hitaji lako..ahsanteni
Sent from my SM-G313H using JamiiForums mobile app
Habari za jioni wandugu..kwa anae hitaji nyumba mpya na ya kisasa ya kupanga Dodoma anitafute .nyumba ipo ndani fence ina maji na umeme pia ni mpya ina vyumba viwili master ..jiko..dining..sebule..madirisha aluminium..gypsum juu..tiles chini..perving blocks nk..bei ni 300k kwa mwezi*6..mwente...
Ile ya laki mbili na nusu imeshatoka..maeneo ya karibu na UDOM ni makuru zipo lakini bei yake ni kuanzia laki tatu ukiwa tayari nijulishe 0714140579 ukazione
Kwa sehemu ya biashara ya mpesa na tigo pesa ni stendi ya mkoa panakufaa nadhani ila kwa chakula ni maeneo ya soko la majengo ndiowengi hutaka nafasi kule..ila pia hata mpesa panafaa pia ..ukiwa tayari nijulishe nianze mchakato
Sallam..wanajamvi nna deal motomoto mwenye uhitaji wa chumba master ipo maeneo ya kisasa Dodoma mjini ipo ndani ya fence na ina tiles ..gypsum na madirisha alluminium maji na umeme uhakika inahitaji 80000 kuanzia miezi minne..
NB..nime shindwa chukua picha kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu
Kuna nyumba inavyumba viwili kimoja master jiko na sebule umeme na maji wakwako ina tiles jipsum na madilisha aluminium inataka laki mbili na nusu miezi sita..itafaa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.