Recent content by dodolido

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    huyo aliyetoa hii post akinijibu haya maswali nitamwelewa, huwa sipendi kurun into conclusion... napenda kuhakikisha. -Frola na mumewe walihamia mwezi gani ufufuo na uzima? -Mikutano ilianza lini? -je huo muda kati ya mwezi aliohamia Frola na mmewe hadi kipindi mikutano inaanza ni kipindi cha...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Makinda: Mishahara ya wabunge ni midogo, wanakuwa hoi wakimaliza ubunge

    Hawa waheshimiwa ki ukweli hawana hururma kwa watanzania ambao ni wakulima na wafanya kazi ambao ki ukweli ukiangalia kipato chao hata baada ya hiyo miaka mitano hawana hata kiinua MGONGO kama cha kwao,zaidi ya kusubiri porojo zao tena.sasa naelewa kwanini ubunge watu wanautamani na baada ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania LHRC yaishtaki serikali ya Tanzania ICC

    Ni mwanzo mzuri LHRC kwa kuanza kutikisa mbuyu ingawa itachukua mda kutikisika
Back
Top Bottom