Mimi ni kijana natafuta kazi kwenye NGOs, Taasisi na Kampuni binafsi. Elimu yangu ni shahada ya 2 kwenye masuala ya Uchumi (Masters degree). Nina uzoefu wa kutosha, kwenye mipango, ubunifu, utekelezaji na ufuatiliaji (Monitoring, Evaluation , Strategy and Innovation).
Nina uzoefu pia wa Mipango...