hawa jamaa wanayumba sana sjui wanakwama wapi hakuna msimamo maalum.
wakae chini wakokotoe idadi ya waliopata vitambulisho na idadi ya watumiaji wa simu.
AFRICA INA WASOMI WENGI WENYE ELIMU ILA WENYE AKILI WANAHESABIKA...
yani kivp hebu nieleweshe mana kuna watu wamefanya track na beatz za wengne it means kna makubaliano?? mfano country boy alishafanyia beat ya mask off ya future.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.