Recent content by doctor_clothing_store

  1. doctor_clothing_store

    Nawezaje kujitangaza kwenye kazi zangu za U-MC?

    Vizuri sana ....nicheki pm nikufundishe jinsi ya kutengeneza matangazo ya kulipia Instagram.....ukilipia matangazo Instagram utakuwa unajibrand Yani personal Branding mwisho wa siku utajulikana na watu wataona uwezo wako na hapo ndo utaanza kufanya kazi
  2. doctor_clothing_store

    KAUNDA SUTI ZA WATOTO

    Zipo mpaka za wafupi wenye vitambi😂
  3. doctor_clothing_store

    KAUNDA SUTI ZA WATOTO

    Zinapatikana boss.... Nicheki WhatsApp 0712878245
  4. doctor_clothing_store

    KAUNDA SUTI ZA WATOTO

    Mambo vipi wadau wa JF. Leo nimewaletea Kaunda suti za watoto wadogo miaka 2 - 17. Sifa za Kaunda suit 👇 Quality materials ✅ 100% cotton wool materials ✅ Bei👇 Tsh. 95,000/= WhatsApp/call: 0712878245 Location: Kariakoo, Manyema na mchikichi street-Dar es salaam. Tupo nyuma ya jengo la Simba...
  5. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Habari wanaJF Leo nimekuja na ofa ya MAKOTI ya SUTI ZA KIUME tu. Sifa za blazers👇 Made in Turkey 🇹🇷 100%cotton wool materials ✓ Slim fit blazer✓ Bei - Tsh. 100,000/= WhatsApp/call: 0712878245 Location: Kariakoo, Manyema na mchikichi street - Dar es salaam. Delivery: Mikoani tunatuma Kwa...
  6. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Mkuu kwenye suala la picha tunapenda kutumia picha za manufacturer aliyetengeneza suit au picha zetu za studio kwasababu Huwa zina uhalisia 100% tofauti na picha za simu kwasababu mara nyingi picha za simu kama sio simu nzuri rangi ya suit inabadilika. Mfano ukitumia simu e.g Tecno suti ya...
  7. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Thanks .... karibu sana boss
  8. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Mambo vipi wakuu, Kwa mara nyingine Tena nimewaletea suti za vijana suti za wanaopenda kuwa unique....six BUTTON suit✓ kama jina linavosomeka ni suit yenye vifungo sita (angalia picha chini👇) Kwa bei ya Tsh. 170,000/= utapata suti yako. Sifa za suit👇 Made in Turkey 🇹🇷 100% cotton wool...
  9. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania. Leo nawaletea vazi la heshima, vazi la viongozi vazi la usalama zaidi liitwalo KAUNDA SUTI. Kwa bei ya kItanzania ya Tsh. 150,000/= utapata Kaunda SUTI yenye ubora na viwango vya juu, made in Turkey 🇹🇷 WhatsApp/call/sms: 0712878245 Location...
  10. doctor_clothing_store

    Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Mil.30 ni hela nzuri ya kuanzia kufanya biashara...njoo kariakoo nikupe mchongo hutojutia kabsa
  11. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Kweli nimeamini mshamba hachekwi😂😂
  12. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Habari wakuu Moja kwa Moja kwenye topic ya Leo. Nikiwa kama muuzaji suti Tanzania na nje ya nchi napenda kuwakumbusha wateja wangu kuhusu heshima ya vazi la suti. 1. Marufuku kuvaa suti na ndara au yebo yebo au makubazi. 2. Ukivaa suti acha kuongea ongea ovyo. Maneno mengi achia watu wa...
  13. doctor_clothing_store

    Suti za ofisini na harusi zinapatikana

    Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki) Bei ya suti inategemea aina ya suti Kuna za Tsh.150,000/=, 170,000/=, 180,000/=, 200,000/=, 250,000/= na...
Back
Top Bottom