Recent content by doctor of philosophy

  1. D

    Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

    Chief,huyo unaemzungumzia hata umtukane vp hawez amka aje ajibu shitaka sasa ya nin kubishana na mtu mfu,are you serious na maisha chief,yan una mlaumu ili iweje, for what extent,ifike mahali tuwaze mawazo yaliyo hai
  2. D

    Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

    Kitaalam kumzungumzia au kumkosoa mtu huku kunaitwa mental disabilities, haiwezekan kumzungumzia mtu ambaye hawez jibu tuhuma,pia ni ukosefu wa fikra fikirishi,alafu kingine labda niongozee jiwe hakuwa malaika kwamba kila kitu alikuwa clean isipokuwa mengineyo alifanya kama binadamu wa kawaida...
  3. D

    Vitabu nilivyosoma mwaka 2024

    Hata mimi nimesoma hicho hicho cha Nyerere tujisahihishe by J.K.Nyerere na walking to freedom by N.Mandela
  4. D

    Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

    Hahahaha geshi la polis tunalikumbuka barabara kabsa,kwa rushwa hao wana mbingu yao
  5. D

    Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

    Sasa nikuchekeshe kitu,b4 sijaingia ofisi za NIDA nilitokea ofisi za RITA ili nipate cheti cha kuzaliwq,na kwenyew nilizungushwa sijapata kuona siku 5 mara naambiwa mtandao mara nini, sasa hiyo siku nipo ofis za rita akaja mzee fulani anafatilia cheti cha binti ake basi nikaona anatoa 40k alafu...
  6. D

    Taasisi zinazokula kwa urefu wa kamba zao

    Kwenye NIDA Umepatia ,mm nilizungushwa miezi miwili namba ya NIDA, ofisi za wilaya fulani hivi,kumbe wanataka urefu wa kamba kweli nilivyotoa pesa nikapata NIDA siku hiyo hiyo
  7. D

    Chawa hakai kwa mtu msafi

    Machawa naona wamezidi kuchipua kila kona ya nchi
  8. D

    Chawa hakai kwa mtu msafi

    Kwahiyo unataka kusema chawa yupo tayari kupoteza utu wake
  9. D

    Chawa hakai kwa mtu msafi

    Habari wakuu, bila kupoteza muda niende kwenye lengo la kuandika makala hii,kwanini watu wanapenda kuwamiliki chawa Kwanini nini chawa,chawa ni mdudu anaependa kukaa maeneo machafu, kwenye nywele,nguo chafu. Chawa husababisha upele, kujikuna na hata magonjwa. Mtu msafi hana chawa, chawa...
  10. D

    Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

    Huenda sijaelewa vizuri lakini mtu kafariki kwa ajali,na nyie hamkuwepo alafu mnasema saa saba,sio saa saba tu tena na dk 55 ndo alifariki, mmmmh sijaelewa hapo
  11. D

    Natafuta shamba la kukodi Kibaigwa/Kiteto

    Mkuu mashamba yapo ya kutosha, ingia pm hapo tuzungumze yapo ya kutosha even hekari 10 utapata tu
  12. D

    Nichague yupi kati ya hawa mabinti?

    Mtt mdg sana,unatuletea vijistori vya abunuwasi, Jamiiforums imeanza kuporomoka kimaudhui kutokana na vamizi hili la vitoto vya elfu mbili, nafikiri moderators muwe mnawapiga ban watu kama hawa coz tunakoelekea jamiiforums itakuwa ni Facebook iliyo changamka,ni ushauri tu.we dg unashindwa hata...
  13. D

    Husimkatie mtu tamaa (mechi ya yanga klabu bingwa)

    Katika kibanda umiza nimekutana na ujumbe maridhawa unasema usimkatie mtu tamaa,ikiwa ni maandalizi ya klabu bingwa yanga huko Algeria, karibuni tujadili tusimkatie mtu tamaa. Kwako mwalimu kashasha
  14. D

    Unywaji wa maziwa ya ng'ombe hauna tija na afya yako (African and Asian)

    By the way,nina kubaliana na wewe kabsa,hii issue ya mazingira iko na effects kubwa sana that's why sisi tunabaki na matatizo kila uchwao kutokana na kuiga lifestyle za watu wa magharibi,mantik yangu ni kwamba tuishi na uhalisia wetu,si ajabu ukakutana na mtu anaenda kununua nyama ya kwenye...
Back
Top Bottom