Recent content by DocJayGroup

  1. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Unaonyesha vyeti vyako ulivyosomea tz. Wanavihakiki. Then wakivikubali.. wanakupa exam ya kukupa license. Ulifaulu.. unapata license. Ila ndio nikasema.. English language kwa wabongo wengi ndio inawangusha. Lazima ujue Ngeli vizuri sana kufanikisha yote hayo
  2. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Kwa ufupi.. Njia ya UHAKIKA.. njoo Usa na student visa. Kuipata inatakiwa ujue English na uwe pia umefaulu kidogo masomo ya sekondari.. au uwe na degree hata moja au diploma nzuri. Kuja kuzamia au na visitor visa tulishasema ni mbaya. Njia nyingine ni kupata manzi ukiwa bongo. Tatizo...
  3. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Niko na kazi nyingi sana ndugu yangu. Yani hata hapa nimejitolea muda sana ili kutoa information mbalimbali. Binafsi napenda watu wafanikiwe. Na NINACHOANDIKA HAPA NI UKWELI NA UHALISIA 100%. Na sifichi information sababu napenda wote tufanikiwe tuendelee kukuza dunia na nchi yetu ya Tz.
  4. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Nitaandika uzi maalum kwa information hizi nikipata muda. Ni information ndefu kidogo
  5. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Unaweza ku-challenge exam.. na usisome. Wabongo kinachowaangusha ni English proficiency. Inatakiwa uwe unajua Ngeli kweli kweli. Bila hivyo hata huo mtihani wa kupata RN license ya USA utafeli tu.
  6. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Sana. Yani pambana upate visa nzuri ndio uje
  7. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Unapata house girl unamlipa laki moja kwa mwezi. USA hakuna mtu anaweza kumlipa yaya labda uwe na hela za wakina Jay z. Utamlipa $5000 kwa mwezi au zaidi
  8. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Ukikataa kusoma.. UNARUDISHWA BONGI. Ukija na student visa lazima usome.. Ila pia unaweza fanya kazi sana tu wakati unasoma na kazi zipo kibao
  9. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Na akili zako za kimaskini.. UTAKUFA MASKINI NDUGU YANGU. Kama ww unaona hio ni hela nyingi.. ujue sasa kwa USA ni cha mtoto. Na kuna wanaotengeneza madolla mara nyingi sana zaidi ya hio. Lakini pia.. kuna watu wanaoteseka wanaishi kwa mabarabara na hata nyumba za kukaa hawana sababu wameingia...
  10. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Tanzania tamu ukiwa na pesa.. ndio watu tunatengeneza pesa ughaibuni.. na kuja bongo kula life na kufanya investments
  11. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Social security number. Kuipata hio sio mchezi. Ila ukija na Student visa utaipata. Ukija na visitor visa au ukizamia KAMWE HAUTAIPATA. Utateseka. NA BILA HIO NAMBA HAUPATI KAZI SEHEMU YEYOTE USA. Utaisoma namba haswaa
  12. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Mpishi.. unaweza.. lakini USA Hawali ugali.. na hata vyakula vyao ni tofauti sana na Africa.. kwa hip itabidi usomee upya. Na pia hawalipi vizuri sana.
  13. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    3. HAKUNA UONGO MKUBWA WATU WANAAMBIWA TZ KAMA ETI UTAUZA VINYAGO HUKU. Hakuna kitu kama hicho. Hakuna kuuza vitu barabarani au nyumba kwa nyumba. Utaenda kupiga hodi kwa mtu.. UTAFYATULIWA RISASI.
  14. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    2. Jamii.. sheria, engineering, computer au human resources inabidi uanze upya. Ila kama ww ni medical doctor au nurse tanzania.. kuna njia ambazo unachallenge exams huku then unakuwa nurse. Doctor bado inabidi uweme miaka mingine kama 6 hivi lakini.
  15. DocJayGroup

    Ukitaka kwenda kuishi Marekani inabidi ujipange

    Nursing na computer science ziko vizuri sana kwa immigrants. Computer science ni kama software au web engineering unafanya websites, apps za simu, unaandika na kumaintain software applications etc.
Back
Top Bottom