Recent content by dobimaridadi DB

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Natafuta supplier wa kushabu kwa jumla
  2. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Huyo mshahara hagusi wakati mshahara wa mwalimu hautoboi trh 5
  3. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Inawezekana ndio miongozo ya kazi zao
  4. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Ukijaribu kufikiria gap lilopo lazima kichwa kipate maumivu kuna watu ni walafi na hawana hata chembe ya huruma
  5. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Jaribu kupiga hesabu 10000 mara mizigo inayotoka bandarini kwa kiwango cha pesa wanachopata hawastahili hata kulipwa mshahara..
  6. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU ni kweli hamjui wanachofanya maafisa TRA bandarini

    Note. Huu ni uhalisia wa kinachoendelea bandarini na sio habari za kuchafuana. Mimi kama mmoja wa wadau wa kubwa wa sekta ya bandari nachukizwa sana na matendo yanayofanywa na maafisa wa TRA bandarini(TPA) na bandari kavu(ICDs). Wenzetu wa TRA wametugeuza customs agent kama mitaji wameset...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tukabidhi sisi jukumu la kufua na kunyoosha nguo zako

    Nashukuru kwa wale wote waliokuja pm. Huduma bado zinaendelea
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tukabidhi sisi jukumu la kufua na kunyoosha nguo zako

    Location Ubungo Bei nguo@500 kufua tu. Zikiwa nyingi tunazungumza Karibuni sana kwa Dobimaridadi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tukabidhi sisi jukumu la kufua na kunyoosha nguo zako

    Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu. Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini wa hali ya juu wewe leta nguo ya aina yoyote bila kujali ni ngumu kiasi gani sisi tutahakikisha...
Back
Top Bottom