Recent content by DO MOCK MJERUMANI

  1. D

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Hiyo ya Wapare ya kuchapana viboko eti kisa wamelewa siyo ustaarabu kabisa. Hata wachaga wana mila zao fulani hivi, ukimkosea heshima mtu mzima na akakushitaki kwenye mahakama zao za kimila unaweza ukaramba fimbo za kufa mtu. Hizo ni mila zao na hakuna mtu analalamikia hiyo. Lakini kwa hii ya...
  2. D

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Haki za walio wachache pia inabidi ziheshimiwe. Vinginevyo kunakuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru wa kuabudu. Wao hawajafunga....kuacha kula wakati wa mwezi mtukufu ni heshima, lakini haitakiwi kuwa sheria wala shuruti.
  3. D

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Wewe umefunga zako, unafanya ibada yako huyo anaekula mchana anakuhusu nini tena? Kwanza, ni lini Zanzibar ilitangazwa kuwa nchi ya Kiislam? Waacheni watu waamini kile wanachokiamini na wafanye kile wanachokiamini. Mimi nijuavyo ni kwamba mtu ukiwa umefunga kisha akatokea mtu anakupa majaribu...
  4. D

    Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa

    Mimi Mgeni humu, naomba kupokelewa. Nina asili ya uandishi, utafiti na uanasiasa. Nitakuwa nanyi katika mambo yote yanayohusiana na haya. Ahsanteni.
Back
Top Bottom