Recent content by Dnyamaka

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

  2. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

    hakuna usalama mzuri mkuu, nisipo weka magril wataingia kuiba nyaya
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

    Poa poa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

    Anasimamia MTU mwingine Mimi ni mtoaji wa pesa Tu Mkuu. ndio maana nimetaka mawazo yenu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

    Nimesha weka picha Mkuu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba

    Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba. Inavyumba vitatu na Choo cha public UKubwa ni 15*16 NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na fundi nimesha mlipa.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba nijue stahiki za watoto wangu

    Hata kama wamefikisha miaka Saba au zaidi ya Saba. Mahakama haiwezi kumkabidhi Watoto huyo baba kirahisi hivyo. Kinacho angaliwa ni maslahi mapana ya hao watoto. Kama mama anazo changamoto ambazo zinaathiri kabisa Maendeleo na ustawi wa hao watoto itamkabidhi baba. Pia mahakama itasikiliza maoni...
Back
Top Bottom