Recent content by dndagula

  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA kuteua mgombea urais Agosti 7

    Hakuna kosa kubwa walilofanya kundi la G55 kukimbilia chaumma na kuondoka chama imara na kinachopendwa na watanzania. wataambulia zero hawakusoma majira.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli Fikirishi: Nani Anataka Mabadiliko na Amani ya Kweli kati ya Wanaosema No Reform No Election na Wale Wanaosema Watalinda kura?

    Kulinda kura haiwezekani na kuzuia uchaguzi haiwezekani.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole ni kero, niliwahi kuacha kodi ya miezi minne kwasababu ya makelele, nilipoenda kulalamika niliitiwa polisi naleta vurugu

    Biblia inakemea wamaosali kama wafarisayo kwa kujionyesha na kupiga kelele kuvaa tasbihi ndefu ili waonekane na Mungu. Ni unafiki kwa Mungu
  4. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu sana Sugu, Wenje, Mbowe kubakia CHADEMA hii yenye msimamo mkali ya Lissu na Heche

    Mbowe Sugu na Wenje ni watu wanaoiangalia siasa kama Bidhaa in capitalist lenses tofauti na Lissu aliyejikita kwenye Justice only.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Tunaomba huduma 0655290084 Mwanza
  6. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vuguvugu la no reforms, no election linaweza kuitikisa nchi na kuipeleka pabaya endapo hatutakuwa waangalifu

    uwezo wa kuajiri watumishi wake hadi wilayani
  7. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Ni kosa kufanya maandamano siku ya kupiga kura,ni ndoto na ni kuingilia haki ya kupiga kura ya mtanzania. watapata mkongoto wa kutosha
  8. D

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo yanayoipa nguvu kampeni yetu ya "No reform No Election", CCM kazi mnayo

    ile video ya Askari Kiondo kuhusu uchaguzi iko wapi?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kusitisha Uchaguzi Usiofuata Sheria na Kuhakikisha Mshindi Halali Anatangazwa

    Hata kuenguliwa wagombea na mawakala kufukuzwa na ubadilishaji wa matokeo ni issue zinazohitaji mwafaka.
  10. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama sio nguvu ya soda Lissu yuko sahihi ila itabidi awachukulie hatua wote walio kinyume na msimamo wa chama

    Uongozi hauendi kwa fukuza fukuza ni sayansi na taaluma.
  11. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu Mnyika nashauri CHADEMA iingie kwenye uchaguzi mkuu hata kama hamna Reform kwa mujibu wa Katiba ya nchi

    Tatizo la Lissu na Heche wanatumia maguvu tu bila akili safari hii CDM sijui!
  12. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

    Hatapewa hata nafasi ya kuhamasisha maandamano asicheze na dola. hizo ni drama tu.
  13. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHASO: G55 ni matokeo ya tamaa ya madaraka, 'Ni waasi wasioitakia mema CHADEMA'

    wasikilizwe acheni kuwapa majina mabaya. Tusiwakatie tamaa by Lissu
  14. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 hampaswi kuwa wanyonge itumieni haki yenu ya kusimamia mnachokiamini bila kuyumbishwa na yeyote. Niko tayari kudhamini mikutano yenu wakati wowote

    Nimefurahishwa na kauli ya Mwenyekiti wao Lissu kuwa "tusiwakatie tamaa G55 "NI kauli ya ukomavu angalau. kwa hili awaite awasikilize kwa hoja hajachelewa. Umojs wa chama chenu ni muhimu kuliko jambo lolote
Back
Top Bottom