Recent content by DNACPU

  1. DNACPU

    DC Humphrey Polepole ajutia uongozi wa awamu hii

    Chakula ni kwa ajili ya tumbo na tumbo kwa ajili ya chakula lakin MUNGU atavitowesh vyotee
  2. DNACPU

    DC Humphrey Polepole ajutia uongozi wa awamu hii

    Naona kama anatafuta maoni aone watu wanasemaje,, Cheo ni dhamana pambana,, Wanajuhudi saana katika MUNGU lakin si katika Maarifa
  3. DNACPU

    Ni halali mbunge kwenda masomoni nje nchi na kuacha jimbo lake?

    Naona anatumia fursa ya kua mbunge kwenda kusoma. Sasa wakienda kusoma wote sijui itakuaje
  4. DNACPU

    Rais Magufuli aongea na RC Makonda LIVE kwa simu akiwa mkutanoni Mbezi, Dar

    Baaada ya mazungumzo ya leo tutaona wakuu wa mikoa mingine nao wakianza ziara kwenye mikoa yao,, Let us wait and seee
  5. DNACPU

    Sheikh Khalifa ammwagia data zaidi Rais Magufuli za wasomi waislamu

    Sheria ya habari ilishasainiwa
  6. DNACPU

    Mtikisiko wa Viwanda: Mapato ya Kampuni ya Bia ya TBL yashuka

    Ina maaana watu wamepunguza kunywa bia,, naona matumizi yasiyo ya lazima yametupiliwa mbali,, Sasa ni kazi tu
  7. DNACPU

    Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Ukiona mtu analalamika Uwezo wa kufikiri umefika mwisho CPU
  8. DNACPU

    Erick Shigongo ni mmoja ya wana CCM waliokopa Twiga Bancorp?

    Hiyo ndiyo tunasema TAKING RISK
  9. DNACPU

    Serikali inamuogopa Lissu?

    No body is above the LAW
  10. DNACPU

    Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Daaa Mwana mpotevu arudipo kule alikotoka Hahahaha,,
  11. DNACPU

    Halmashauri zinakufa, Wabunge mko wapi

    10 9 8 7 6 5 4 3 2 1 Soma taratibu hapo kama huelewi kumbuka elimu bureeeee
  12. DNACPU

    Makonda: Pale ofisini kwangu nina wasaidizi 120, lakini najivunia 4 tu, wengine ni mizigo..!

    Dar mpya na majivuno mapya Let wait,, Tufundishe kunyamaza eee MUNGU
  13. DNACPU

    Wakala wa Majengo Tanzania: Marufuku kutumia simu za Mikononi muda wa kazi kuanzia Januari 2017

    Sidhan kama itaongeza ufanisi, Tujenge uzalendo wa kufanya kazi hicho tuu kitaleta ufanisi OVAAAAAA
  14. DNACPU

    Rais Magufuli mpe kazi Makongoro Nyerere

    Stressful life inaumiza saaana Punguza kukuza mambo
Back
Top Bottom