Recent content by Dmushy310

  1. D

    Amemdanganya mchumba wake anafanya kazi dukani kumbe ni changudoa

    Ukwel wako utakua jembe ila ni jinc ya kumwambia i mean tengeneza mazingira.
  2. D

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Cyo km havina kabisa ila faida yake ni ndogo
  3. D

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Niliifanya kitaa ila palikua na mzungu wa watu, viaz km viaz havina faida xana, endapo utakua mjanja kuweka vifuatavyo utakua na uhakika zaid; mishikaki, ndizi, soseji, samaki, kuku na vinywaji km vile juic za matunda na soda na maji...
  4. D

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Hiyo biashara niliwah fanya bt changamoto ni dogo kuwa msafi, mwaminifu na mwenye kauli ya kumuita mteja na cyo kumfukuza...
Back
Top Bottom