Recent content by Dkt

  1. Dkt

    Je, conduit pipe rangi nyeupe inauzwa bei gani Moshi?

    Naomba kuuliza zile conduit pipe rangi nyeupe, bei yake ikoje kwa Moshi?
  2. Dkt

    Je, inawezekana vijana wetu waliokufa Congo ni kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kutosha wa vita?

    Una uhakika kama kwel walitumia hayo masaa 13???? Ndan ya masaa yote hayo walishindwa hata kuomba msaada wa kuongezewa nguvu?????? Hata Air forces???? Hata siku moja usitegemee atakuja mtu akwambie tumepigwa, ila atakwambia tumepigana ila tumezidiwa. Je ikiwa kwel yalitumika hayo masaa 13...
  3. Dkt

    Yericko: The Basic & Advanced Principles of Criminal Investigations similar to Lissu's Assassination Attempt

    Mkuu pamoja na kwamba wapo wanaotoa makosa katika hili darasa lako, lkn Mimi binafsi nimependa sana kwan pamoja na kuwa Mimi nafanya kazi zinazoendana na hili darasa lkn kuna mambo mengi sana nlikuwa siyajui kwakwel. Asante sana
  4. Dkt

    Hongera TBC kwa mabadiliko makubwa

    Kwel kabisa, wanapitwa na Azam na Star tv
  5. Dkt

    Hongera TBC kwa mabadiliko makubwa

    Walikuwepo akina Tido, leo wako wapi?
  6. Dkt

    Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

    Anakurupuka tuu huyu! Hizi habar tangu jana usiku zipo hewan, na Takukuru wamethibitisha kumkamata kwa uchunguz wa mambo fulan
  7. Dkt

    Habari zilizonifikia muda huu zinasema kwamba.....

    Wanafanya mashabiki wao wasahau khs FIFA, Maana mikia kusahau ni faster
  8. Dkt

    Baada ya ripoti ya Makinika kutikisa, Executive Chairman wa Barrick atua Tanzania kutuliza mambo

    Mungu tujalie tuishi kwa aman, upendo na furaha siku zote
  9. Dkt

    Baada ya ripoti ya Makinika kutikisa, Executive Chairman wa Barrick atua Tanzania kutuliza mambo

    Mungu tujalie nchi yetu tuishi kwa aman, upendo na mshikamano
Back
Top Bottom