Recent content by DKT ABBASI

  1. D

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi: Ngao au Tishio?

    Vyama vya wafanyakazi na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) viliundwa kama ngao ya kulinda, kutetea, na kuwasilisha sauti ya mfanyakazi. Mfumo huu unapokengeuka na kupoteza maono yake ya msingi, chombo kilichoundwa kumkomboa mfanyakazi kinageuka kuwa tishio kwa maslahi na haki zake...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya ndani ya vyama vya wafanyakazi

    Makala ya kielimu kuhusu uhuru wa kujumuika, nafasi ya mwanachama, mipaka ya mamlaka na umuhimu wa demokrasia ya ndani UTANGULIZI Vyama vya Wafanyakazi ni taasisi muhimu katika kulinda haki, maslahi na sauti ya pamoja ya wafanyakazi. Uimara wake haupaswi kupimwa kwa idadi ya wanachama...
Back
Top Bottom