Recent content by Dkileo

  1. D

    Fred, Pogba, Matic na Herrera. Nani anastahili kukaa benchi?

    mkuu punguza wenge kidogo...hapo pameandikwa wachezaji wa aina ya di maria au na willian(jiongeze)
  2. D

    Fred, Pogba, Matic na Herrera. Nani anastahili kukaa benchi?

    burnley wako hoi balaaaaa
  3. D

    Fred, Pogba, Matic na Herrera. Nani anastahili kukaa benchi?

    Jose Mourinho jana alipoteza mechi ya pili mfululizo katika mechi 3 …Ni mara ya kwanza kwa Jose kufungwa 3-0 nyumbani katika Maisha yake….Hii inaongeza hali ya sintofahamu ndani ya kikosi cha Manchester United haswa baada ya kuibuka kwa habari kuwa Jose ana tatizo na Paul Pogba japo Jose...
  4. D

    Chelsea ,Man city kipimo kikibwa kwa Matteo Guendouzi

    Hahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    Chelsea ,Man city kipimo kikibwa kwa Matteo Guendouzi

    Katika mechi mbili za mwanzo za msimu huu wa 2018/2019 za Arsenal kuna kijana wa Unai Emery alinivutia sana…Anaitwa Matteo Guendouzi…Kijana mdogo wa miaka 19 kutoka timu ya league 2 ya Lorient huko France Wakati nilipo mwangalia pre season niliamini Matteo hatoweza kuingia moja kwa katika...
  6. D

    Natafuta battery ya PC

    Wakuu, Kwa anayeuza battery ya PC anichek PM PC yangu ni HP elite 8440
  7. D

    Ni wakati wa Diego(El Cholo) Simeone kutafuta changamoto mpya

    wenger amekaa mpaka zigo la mavi limemwangukia mkuu
  8. D

    Asante Wenger umekumbuka kutuachia Aubameyang na Mkhitaryan

    hakuna anaye faham mkuu..ngojea tuone kina ivan gazidis watakuja na jina gan
  9. D

    Ni wakati wa Diego(El Cholo) Simeone kutafuta changamoto mpya

    Alhamisi 6 ya mwezi MAY mwaka 2004 magazeti mengi ya ulaya yaliandika kuwa Jose Mourinho ameiambia Fc Porto kuwa ataondoka baada ya fainali ya UEFA champions league mwaka 2004. Baada ya kuifunga 3-0 monaco kwenye fainali iliyopigwa arena Auf Schalke Jose aliondoka Porto Jose aliwahi kusema kama...
  10. D

    Asante Wenger umekumbuka kutuachia Aubameyang na Mkhitaryan

    nadhani ni vyema next season ukaanza kuangalia game za Arsenal kwakuwa kuna Mkhitaryan na Aubameyang mkuu
  11. D

    Asante Wenger umekumbuka kutuachia Aubameyang na Mkhitaryan

    nadhani akiahirisha kusepa kuna watu wengi wa Arsenal watakufa kwa pressure
  12. D

    Asante Wenger umekumbuka kutuachia Aubameyang na Mkhitaryan

    wamuhitaji kocha gani mkuu??????????
  13. D

    Asante Wenger umekumbuka kutuachia Aubameyang na Mkhitaryan

    Miaka 22 iliyopita profesa kutoka ufaransa aliwasisli London kuwa manager wa moja ya timu kubwa London..Ilikuwa september 1996 ambapo Arsenal ilimtangaza Wenger kuwa kocha wao na alianza kazi 1 october 1996 ..Nilikuwepo duniani japo sikuwa na uwezo wa kutambua yaliyokuwa yanaendelea.. Baada ya...
Back
Top Bottom