Recent content by DK The Farmer

  1. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sina tu nauli ningeenda Burkinafaso! Kampeni mpya ya "Gurudumu La Mama" yazinduliwa Dodoma!

    Ha ha ha, eti gurudumu linapunguza AJALI.
  2. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

    Hakuna mtu aliesema inakufa, ha ha ha....ila hali yenu si nzuri Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  3. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi? "What a hell" au "What the hell"

    Hata kipusa maana yake hakuifahamu, na ni neno la kiswahili kama angejua asingetumia, maana ya KIPUSA ni msichana mrembo mdogodogo...huyu jamaa sijui hana wahakiki?? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Mpumbavu hulazimisha hekima kwa kiburi chake

    Kitundu L. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania CHADEMA si CHADEMA tena

    Na bado....Mnachukua makapi mnashindanisha na Almasi.... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Kwa sababu zipi? Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  7. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Serikali muwe makini, Vyombo vya habari vya nje vinajaribu kuharibu jina la Tanzania

    Na huyu kitundu anatumika vibaya.... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Serikali muwe makini, Vyombo vya habari vya nje vinajaribu kuharibu jina la Tanzania

    Wewe ndio umemchoka....mwendo wa kupiga domo tuuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Serikali muwe makini, Vyombo vya habari vya nje vinajaribu kuharibu jina la Tanzania

    Mbona issue ya ACASIA wameifumbia macho, hawaioni? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    Kwan na we uko wap miaka yote Sent using Jamii Forums mobile app
  11. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Huyu jamaa anatafuta pa kutokea, kipindi hiki hamna kiki za kisiasa, ukion umerusha jiwe sehemu n kelele zikasikika ujue limempata mtu. Hana jipya, hajui maana ya State Sovereignty, anajiita msomi wa mashaka, Raisi apige kazi tuu, huyu ni "Sisimizi katika kundi la Tembo" hawezi onekana lah! Si...
  12. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Hayo ni mawazo yako, na ndio uwezo wako wa kufikiri. Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  13. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Huyo Gwajima Atoe hicho cheti feki na original kama anacho aache kelele....parapata nyingi za nin Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
  14. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kuunga mkono kuhojiwa kwa Makonda bungeni ina maana nzito

    Tunapiga kelele tu humu ndani unadhani kwa kumuita wanalinda maslahi ya wananchi ama maslahi yao binafsi.Tuangalie mbali kidogo swala la madawa ya kulevya nahisi linaenda kuwagusa wengi walio ndani na wanahisi kwa kutajwa kwao itakuwa si feedback nzuri kwa wananchi wa majimbo...
  15. DK The Farmer

    JamiiForums Tanzania Nikajiuliza, Waziri alifuata nini Ikulu?

    Safi sana Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom