Uyo jamaa kuna nafasi alikuwa anataka serikalini ama alikuwa na mipango ya kupata pesa kutoka kwa wake wa viongozi lakini ninacho jiuliza amewezaje kuchukuwa izo video zote alikuwa anafanya nao ama alikuwa anategaje izo camera na kupata izo video
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.