Recent content by djwakibajaji

  1. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Huyu ni mpuuzi tu ameshindwa yeye mwenyewe kwa mitamaa yake ya kupata pesa za haraka alafu anataka kuaminisha na kizazi kijacho huu uozo wake huu
  2. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Wewe jamaa ni muhuni tu mwezi wa January tu hapo uliweka chapisho lako kwamba kutarget VIP traffic umefeli ni ngumu kwako na una malengo ya kulenga traffic ya TANZANIA cause ni low quality kwahiyo haiwezi kuwa na KD kubwa kwa hiyo utaweza kufurukuta. Naona hata kublog kiswahili kumekushinda...
  3. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Naimani umepata mwanga teyari
  4. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blog ya kiswahili ni rahisi lazima niifungue

    Mambo vipi bloggers Kwa miaka kadhaa nimekuwa na blogs ninazoziandikia kimombo, sasa najikuta natamani kumiliki blog ya kiswahili. Lengo langu nipate visitors 2M kwa mwezi kupitia SEO mana bongo competition ni ndogo Swali ni je mnapataje mpunga kupitia hizi blog za kiswahili
  5. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Unanipangia au sio najua yote hayo
  6. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    130k
  7. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Unazingua mkuu mm nimesema ADSENSE
  8. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Hii ndio ina matangazo ya adsense
  9. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Niuzie Blogger Site Na AdSense Yake

    Wadau wa ADSENSE nahitaji blog na ADSENSE yake kwa anayeuza
  10. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Upo vizuri elimu ya blog umepatia wapi
  11. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Thibitisha
  12. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Wewe ni blogger mkubwa umefikia hatua ya kuendesha biashara mwenyewe mkuu
  13. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Elaborate some of them please
  14. djwakibajaji

    JamiiForums Tanzania Blogger ni taka taka kwa WordPress

    Good idea kiongozi
Back
Top Bottom