Naona leo gazeti la uhuru limepata cha kuandika na kwenye uchambuzi wa magazeti tbccm hii habari itakuwa na headline...sisi haturudi misri tunaelekea kanani...ccm imeishiwa waje na hoja za kueleweka jamani
1. Kwa kuwa viongozi wa CCM ndio walikua mstari wa mbele kukwamisha maoni ya wananchi kwenye Katiba mpya, kwanini usifanye kampeni ya watanzania kuwakataa viongozi wote wa CCM badala ya Lowassa peke yake?
2. Umesema wapo watu ndani ya CCM waliokua "wanamkakati" wa kukwamisha maoni ya...
Mbowe na Mbatia, wanashambulia kaskazini mwa Tanzania
Dr. Slaa anashambulia kutoka kanda ya ziwa na magharibi
Prof. Lipumba anashambulia kutoka kusini
Sherif na Jusa wanashambulia kutoka Pemba
Homood & Monyo (shemeji yake Karume) watashambulia kutoka Unguja
Don himself...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.