Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kilaini iliyopo Bukoba vijijini na afisa elimu wa wilaya ya Bukoba wanahojiwa na polisi kwa kutokuchukua hatua kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo akiwa na ujauzito wa miezi sita.
Nini maoni yenu wadau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo naangalia athari zake ni wanafunzi wangap watatoa mimba hata kwa njia zisizo salama na kupelekea madhara kwao. Na hapa wazazi walikuwa mzigo wanauweka kwa mkuu wa shule wa Kwann wanafunz wao wametoa mimba wakiongozwa na Diwan wa kata hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa katika halmashaur ya Bukoba vijijini nimekutana na migongano baina ya wanakijiji na uongozi wa shule ya msingi Kilaini, wakiwa wanazozana juu ya hatima ya wanafunzi wawili wakike wanaosadikika kutoa mimba.
Kilichonishangaza zaidi hoja za wazazi walijikita zaidi katika kutaka kujua mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.