Mwalimu mkuu anahojiwa na police kwa kumruhusu mwanafunzi mwenye mimba kuendelea na shule

Dizodo

New Member
Jul 26, 2017
3
1
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kilaini iliyopo Bukoba vijijini na afisa elimu wa wilaya ya Bukoba wanahojiwa na polisi kwa kutokuchukua hatua kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo akiwa na ujauzito wa miezi sita.

Nini maoni yenu wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wenyewe ni madakitari, kama anamaliza mwaka huu wamwache binti amalize ndo waanze kufuatilia, nilisoma na binti form 5 alipata mimba, likizo akaenda kwao akajifungua February akarudi shule, na alimaliza vizuri na kifaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wenyewe ni madakitari, kama anamaliza mwaka huu wamwache binti amalize ndo waanze kufuatilia, nilisoma na binti form 5 alipata mimba, likizo akaenda kwao akajifungua February akarudi shule, na alimaliza vizuri na kifaulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulkuwa bwiru girls?? Maana kuna stuation kama iyo ilitokea pale girls mkuu.

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kilaini iliyopo Bukoba vijijini na afisa elimu wa wilaya ya Bukoba wanahojiwa na polisi kwa kutokuchukua hatua kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo akiwa na ujauzito wa miezi sita. Nini maoni yenu wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusisahau na kuwahoji waliolikamata libombadia letu new bland kabisa... Just hope this time is not terrible teenager

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom