Recent content by dizasta

  1. D

    JamiiForums Tanzania Starlet Glanza

    Wakuu kwema, Sijawahi kumiliki ndinga ila nimejichanga nataka nianze na starlet glanza wenye kuijua gari hii wanisaidie uzuri na changamoto zake tafadhar.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nokia lumia 535

    Nmefanya hard reset mkuu bado ipo vile vile pia najaribu kuupdate window inachkua muda sana masaa 3 haijaanza hta aslimia moja
  3. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nokia lumia 535

    Selfie haifanyi pia mkuu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nokia lumia 535

    Aksante mkuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nokia lumia 535

    Nimejaribu kudownload nayo haifanyi kaz pia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada nokia lumia 535

    Wakuu natumaini mpo flesh...naomba kusaidiwa simu yangu ya microsoft lumia kamera haifanyi kazi kabisa nikiifungua inaload alafu inarud kwenye menu tatizo limeanza baada ya kuianzisha simu upya(hard reset)mwenye kujua anisaidie
  7. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    MIMI NI MWL PATRICK MCHUMA CHACHA MWENYE CHECK NO 111246633 NA TSD NO C.9686. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANA NAE KITUO CHA KAZI (SHULE YA MSINGI) AJE MKOA WA MARA-RORYA ME NIJE KAHAMA, MWENYE UHITAJI TUWASILIANE -0757406398 -0787473087
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuwashwa mwili

    Wakuu wazima? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kuwashwa mwili hasa sehemu za mapaja, tumbo, mgongo na mikononi. Nikipakuna panakuwa kama nimetembelewa na mdudu. Nilienda hosp wakasema allergy wakanipa dawa nikatumia sioni kama zinasaidia nimepima minyoo wapi. Napata shida sana mwenye kujua...
Back
Top Bottom