Recent content by dixonny

  1. D

    Kumbe mwisho wa mwezi!

    Hahaha
  2. D

    Mwenge wa uhuru unazunguka Tanzania Bara na Visiwani?

    Mwenge wa uhuru hua unazunguka kila wilaya Tanzania bara, je mwenge hua unavuka na kuelekea wilaya za visiwani kama vile wilaya ya Ukerewe ambayo inabidi uifikie kwa kuvuka zaid ya km20 majini? Na kisiwa cha Mafia. Naomba kufahamishwa kama mwenge hua unafika maeneo hayo.
  3. D

    Tushare app za live TV katka smartphone

    Chanel zenyew hujatupa link sasa 2tazipataje bro? Play store ipo zalulu na ndo huwa natumia hzo zngne 2tazipata wap?
Back
Top Bottom