Recent content by Divitiae

  1. D

    Wadada na wizi ni pete na kidole?

    Pole sana aisee hahah
  2. D

    Hizi familia hizi zina mengi mazito.

    Sijaona kosa lako popote, kama ulishajishusa ukaomba radhi, na mlishakaa kikao kwa kosa la kumalizia hasira kwa dogo, kwa upande wako huna kinyongo songa mbele, jitahidi tu hudhuria sherehe ya mwisho ya Mzee ikiwa atatangulia, mengine ishi wewe, na wanaokutaka songa mbele timua vumbi haswaa
  3. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Asante kwa ufafanuzi mzuri "kama zina majina ya huyo mwanamke mwingine" Pia ikiwa marehemu aliacha wosia akiwataja watoto wake wote wa ndani ya ndoa na nje ya ndoa kama warithi na akasema huyo niliyefika mikononi mwake apate hiki na hiki kwani amenitunza mno, Nakiri diplomasia itaweza leta...
  4. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Ni sawa kwa mazingira hayo tutamwomba mleta mada atupe mrejesho , ila zipo kesi nyingine zipo wazi kabisa kama hii ya mleta mada
  5. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Narudia kukwambia huyo Mama hana chake hapo wapate watoto yeye atapata kama msimazimi wa watoto kama wako chini ya miaka 18, hivyo anaweza tumia mwanya huo kuneemeka na kama aliwaacha watoto aliozaa na marehemu akaenda ishi huko alipotoa ndugu wa marehemu watamfanyia kauzibe tu, Haki itapatikana...
  6. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Ipo kesi ya Dada mmoja alimkuta mwanaume kanunua nyumba haijaisha kabla hajamuoa, alipomuoa wakaimalizia wakiwa wamepata watoto wawili, mwisho wa siku yule dada anadai talaka anataka nyumba iuzwe kwani wamejenga wote, mwisho wa siku ikaamuliwa yeye mke alipwe fidia , na ile nyumba ni wa watoto,
  7. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Huo ndo ukweli sijasoma sheria , unajuaje hayo yote tumeyashuhudia Mahakama zikiamua ukitaka jifunza vingi jaribu pia hudhuria Mahakamani,
  8. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Huyo hapati kitu zaidi ya watoto rafiki au kwa huruma ya mke mwenzake na familia ila hana chake hapo kachuma nae nini marehemu?, ponea ponea hiyo nyumba iwe imejengwa kipindi anaishi kwa wazazi wa marehemu Ila la muhimu waende mahakamani hao ndo waamuzi na watalaamu wa sheria, nazungumzia...
  9. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Watoto wapate shahiki zao kwa sehemu ya Marehemu Baba yao, yeye angeweza pata fidia marehemu angekuwa hai kama angemburuta mahakamani ila angewezaje sasa na ameshaolewa kwingine? Wajuzi wa sheria watasema zaidi mimi maoni yangu ni hayo
  10. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Hapo ni kuwa kwa "ubize" wa ndoa zao mpya walijasahua kwenda ivunja hyo, na wengeenda kwa mazingira hayo watafisiri wa sheria wangeivunjilia mbali kwa mazingira yaliyokuwepo
  11. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Sawa ila jaribu fikiri hao wote wameenda ishi na watu wengine kwa zaidi ya miaka miwili na kwa sheria zetu mkiishi hvyo inatazamiwa kuwa ni ndoa hvyo hao wote wanandoa nyingine, hiyo ilshavunjika, kwa matendo yao hao wote wawili, kumbuka ndoa ni mkataba waweza kuwa kwa maandishi (cheti za ndoa)...
  12. D

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Naona haki kwani hawakuchumahawakuchuma pamoja na ndoa zilishavunjika kwani moja ya sababu ya kuvunjika ndoa ni kuwa na mahusianao nje ya ndoa na wote wamefanya hilo kwa kwende kuwa na ndoa zingine na huo muda waliokaa mbali mbali na mahusiano mengine inatosha kuvunja ndoa yao ya awali...
  13. D

    TANZIA My dad is gone

    Poleni rafiki, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
  14. D

    Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Sio mbaya Kuna wakati TRA inahitaji whistle blower ili wakwepa wasiwepo jambo la muhimu iwe taarifa sahihi wakati sahihi kwa mamlaka sahihi kulingana na sheria/taratibu sahihi
Back
Top Bottom