nayaamini mawazo yangu pamoja na fikra zagu kuwa zipo sahihi kwa 100% so kama we unaona kunashida ni mawazo yako pia unayoyaamin so mi siwezi kukupinga
damn hapo umenena kaka mm hapa nnapoandika hii mambo kwa sasa nipo hom likizo nnasiku kama sio tano basi ni nne sijaliona jua linafananaje kila kitu namaliza ndani, pia siwapendi wanyama maana wananizuru ata harufu tu ila nature hohohohoo men ni kitu kinanivutia sana na mala kadhaa nimekuwa...
sio kwamba naogopa hujaelewa apo
always huwa na tabia ya kuwachoka watu mapema sana na sipendi kuchangamana nao maana najua watajua madhaifu yangu jambo ambalo sipendi litokee kujalibu kum impress yule dem uwezekano ulikuwepo lakin ilifika hatua nkawa najiuliza wa kazi gan anafaida gan kwangu ...
MAWAZO YANGU
Katika alakati ambazo tumekuwa tukiziishi alakati za ndoa au kuishi na mwanamke ndani sjawai kuona kama zinafaid yoyote ile katika maisha
ndoa ni kitu cha kupoteza muda tu na kutimiza matamanio ya mwenza
unawezaje kuishi na mwanamke ndani kwa miaka nenda ludi wakati sio ndugu...
huwa wanaonesha kujalibu kujali kuhusu mm lakini wanashindwa kuendana na matakwa yangu pia wananishindwa maana mm huwa naongeo mala moja tu na sijawai mbembeleza mtu kiufupi siko romantic apokuwa kunamda nawish npatemtu lakin huwa pia nawaza kama kuongea na mtu kw mda mfupi namchoka vip kuhusu...
hivi hata hao madem huwa mnawapataje? nimesoma majarida na nakala mbalimbali juu ya kuanzisha mahusiano na huwa najalibu lakini mala zote nimekuwa nakwama,
Niliwai kujalibu mdada mmoja tulisoma wote O lever kipindi hicho tukiwa kwenye majadiliano ya vikundi darasani alikuwa anapenda kuntania...
SIDE A
yupo sawa kilealichokisema kutokana na ubovu wa elimu ya msingi hasa shule za selikali mabazo wanafunzi wanamaliza darasa la saba hata kusoma tatizo lakin wanafaulu na kuigia secondary hiyo ameona kuwa hayo mahafali watafanya kidato cha nne
SIDE B
hayuko sawaa kwa sababu watoto...
sijui mm nipo wapi nijuzeni wataalam maana mm kwanza kuna majiran zangu nakaa nao uswahilini nymba ziko ero distance lakin hawaijui hata sauti yangu inaskikaje
mtu akiniongelelesha jambo kaama story mala yingi huwa naitikia kwa kichwa tu
sipendi kuongea sana na kiukweli huwa nnamajibu machafu...
kwa uwezo uliouonesha wa kutubandikia bango kisha ukaliita logo inaonesha wazi kunawalakini katika kazi zako mimi nikushauli tu ndugu yangu jipe hata miezi 6 ya kufa na kupona kujifunza kutengeneza logo tu alafu ukijiona umekwiva ludi kutazama hichi kituko chako apa unachokiita logo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.