Recent content by DivaDaily

  1. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Sio kila mwanamke ana danga wengine tunafanya kazi no mabwana

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva: Alikiba ana uwezo wa kuwa na wake wanne ni muislamu yeye

    Mtangazaji Maarufu Star wa Cloudsfm Radio Diva amefunguka Dai la Baadhi ya Team Diamond Kusema Kuwa Alikiba ana Mke (ambae inasemekana wametalakiana) na aache shobo za Kumpost , amekaa na kufunguka ya kuwa ' Alikiba Anampenda sana na ataendelea Kumpost tu' hakuishia hapo pia kupitia XXL week...
  3. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Alikiba: Nampenda sana Diva tena sana Tu

    akifunguka mahaba yake kwa mtangazaji wa Cloudsfm alikiba amekiri kumpenda sana Diva na kuongezea amekuwa akimsapoti kwa muda mrefu sana ni mtu wake wa nguvu, tizama video hio apa. Ikumbukwe miaka 7 au 6 iliopita wawili hao waliwahi ku share kiss (denda) live on stage ndani ya Billcanas na Diva...
  4. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Killy toka Kings Music is The Future, hongera Alikiba mtoto kakua

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva, tunaishi katika jamii ambayo mwanamke akiwa na miaka kuanzia 30 anaitwa bibi, sasa Rihanna is 32 ni kikongwe? Tanzania ushamba mzigo

    na akiwa na hela zake anadanga, na unaona kaajiriwa na anapiga kazi , only in Bongo Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Killy wa Kings Music afanya 'kolabo' ya kimataifa, Nyanda wa Brick n Lace na Singah wa Nigeria ndani

    Hii dogo kaua humu. ==== Tanzanian singer; Killy has now dropped Amenikaa; his first banger of the year featuring Nyanda of Brick and Lace and Singah from Nigeria. On this groovy love song, the artists give all praise and affirmations to their partners, not to mention the catchy hook...
  7. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Killy wa Kings Music Alikiba ala shavu na wasanii wakubwa marekani

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva wa Clouds FM - Sina boyfriend, nikiwa na boyfriend nitaacha kumsifia Ali Kiba

    Akiongea kwa kicheko baada ya mashabiki wa mtandao wa twitter kumuuliza Diva kama mwanaume wake kwanini hamind vile anavyokuwa anamsifia alikiba. Mtangazaji huyo wa kike toka cloudsfm anga za usiku wa ala za roho nne na nusu mpaka saa saba alijibu hana boyfriend ila akipata boyfriend ataacha...
  9. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumpigia simu Diamond wala sijawahi kuwasiliana kuomba kazi wasafi, ningetaka ningempigia mmiliki mwenyewe

    aliongea mengi, alimalizia kwa kusema tena kwa dharau, Diamond sio mmiliki kama anavyodanganya watu na angetaka kazi angempigia mmiliki sababu anamjua , Diva alaiongezea diamond ni muongo sana huwa anatengeneza vitu kuua kitu kinacho trend na sababu ya yeye kusema uongo ule ni kupoteza kiki ya...
  10. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Diva Cloudsfm Nimeona show Ya Alikiba Zanziba, kanikuna sana , BurnaBoy kanifurahisha sana

    tukiendelea kuletea mtiririko wa matukio ya Diva na show yake Mpya Youtube Divathebawsetv ameulizwa na mashabiki zake kwamba je ameona show ya Mfalme Alikiba Zanzibar. Diva amejibu ameona mtandaoni kupitia instagram na kwakweli amemkuna sana maana ni kipenzi cha watu na huwa hatumii nguvu kama...
  11. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva Cloudsfm asema - Huwa sijali kama mtu huwa ananielewa au hanielewi i live my life fully watajijua

    Akijibu juu ya kupendwa sana na kusababisha taflan mitandaoni, a 31 years old Diva Gissele Malinzi au Al maarufu Kama Diva' Mtangazaji wa #Alazaroho ya Cloudsfm , anasema yeye huwa hajali wala kuumizwa na maneno ya watu sababu hao watu ni only 20% so wanajichosha yeye ni sikio la kufa...
  12. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva wa Clouds FM: Mimi sio tasa, nikitaka kuzaa na mwenza wangu tutaenda Marekani for IVF

    Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Nitaenda Marekani Kupandikiza Mtoto Kwa Njia ya IVF - na ikitokea kawaida pia ntafurahia Godsplan vyeti vyangu vya uzazi viko salama katika uzazi na Mayai tatizo ni Mirija hivyo huniwia vigumu kupata Mtoto kawaida. Ameongea Diva Kupitia #KeepingUpWithDiva Youtube...
  13. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva wa Cloudsfm - Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Mi na Mwenza wangu tutaenda marekani for IVF

    Mimi sio Tasa Nikitaka Kuzaa Nitaenda Marekani Kupandikiza Mtoto Kwa Njia ya IVF - na ikitokea kawaida pia ntafurahia Godsplan vyeti vyangu vya uzazi viko salama katika uzazi na Mayai tatizo ni Mirija hivyo huniwia vigumu kupata Mtoto kawaida , ameongea Diva Kupitia #KeepingUpWithDiva Youtube...
  14. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva wa Clouds FM amfanyia Iyanya Interview

    https://soundcloud.com/see-the-africa-tv/exclusive-interview-diva vs iyanya
  15. DivaDaily

    JamiiForums Tanzania Diva wa Cloudsfm interview with Seyi Shay sikiliza

    m.soundcloud.com/see-the-africa…
Back
Top Bottom