Hajibu na meli ya bagamoyo ikinunuliwa juzi imeenda wapi na ajibu kuhusu ripoti ya CAG inayoonyesha alitoa ripoti ya uongo bungeni, ajibu kuhusu kashfa ya kugawa nyumba za serikali kwa mahawala zake n.k
Kwahyo unahisi swala la ufisadi ni rahisi? Kama raisi mbona magufuli anamsifia chenge? Halafu anajifanya atafungua mahakama cjui atamfunga nani sasa? Ufisadi kwa Tanzania ni swala gumu na linalohitaji weredi wa hali ya juu?
Anayejifanya kuvunjwa moyo ni muongo, mnafiki na aliyezoea kuongopewa. Kuongea sana c kutenda ndo maana hata Yesu alipokuwa anaulizwa maswali na Pilato kuna ambayo hakujajibu, kujibu maswali kwa kukurupuka na kuongea sana ni uongo usio na mashiko
Watanzania cjui tuna matatizo gani aisee, sasa nyie mlitaka ajibu sawa kama wenu, kila mmoja ana mikakati yake juu ya kupambana na ufisadi, wengne watafungua mahakama huo c uongo kabisa kwan mahakama zilizopo hazina mamlaka ya kushughulikia mafisadi? Sometym tuache ushabiki tuangalie fact...
Haaaaaaah pole mwaya mwenyewe sijaelewa kabisa kilichofanyika, post yangu walitangaza nafasi 39 na tukafanya interview watu 100+ lakini wamechukua watu 10 tu duuh changamoto, by da way tukaze buti tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.