Recent content by Dismas shao

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wosia: Nikifa mke wangu asiolewe

    Akiolewa utarudi kutibua?
  2. D

    JamiiForums Tanzania JOHN MNYIKA -Muswada Binafsi wa Sheria ya kuunda Baraza la Taifa la Vijana

    Ukisha kuwa mbunge kijana lazima utimie ubongo wako kutatua matatizo ya jamii husik.Wabunge wengine wamelala usingizi.viva Mnyika
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kosa la Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo - Uwajibikaji wa pamoja

    Pengo ana pengo gani?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    Mr ngoyoni Evod hana uwezo wa kisiasa.ni Jirani yangu.labda tuseme amebugi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba anaongea ndani ya Dakika 45 ITV

    Ndg zangu,watanzania wenzangu,vijana wasiokuwa na ajira,kipindi cha uchaguzi ni kipindi cha kuangalia fursa.uchaguzi ni fursa kwa anayejua maana ya fursa.chagua kundi kati ya makundi ya wagombea kwani yote yana pesa ingia ndani.T-shirt xitakuwa hewani,vipeperushi nk.badala ya kuzozana bila tija...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Ndg zangu,watanzania wenzangu,vijana wasiokuwa na ajira,kipindi cha uchaguzi ni kipindi cha kuangalia fursa.uchaguzi ni fursa kwa anayejua maana ya fursa.chagua kundi kati ya makundi ya wagombea kwani yote yana pesa ingia ndani.T-shirt xitakuwa hewani,vipeperushi nk.badala ya kuzozana bila tija...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete hakukosea kwa Wassira

    Wassira na Anna Kilango hawakuwa na fadhila nyingine toka kwa rais muda huu iliobaki kwa sababu walikuwa msaada mkubwa kwa rais,chama,kumaliza malumbano makali yaliyotaka kuingiza nchi kwenye matatizo makubwa.ikumbukwe watu Hawa wawili walifanya kazi kubwa sana ktk kamati iliyoundwa na spika...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa urais 2015, mh. Pinda hana mpinzani. Ni mwadilifu, mzalendo, mchapa kazi na mwaminifu. Si fisadi

    Waziri Mkuu pekee duniani jambo likimshinda anamlilia mama yake.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji

    Mr bashiki ujumbe umeuandika kwa jazba pia kiushabiki.Tibaijuka amekuwa anaweweseka tangu agundulike ameiba hela za umma.nakuhakikishia leo Prof Tibaijuka ni mlafi na hana maadili hata kidogo.kama yeye anaamini pesa alizopata ni halali yake kwa nini matako yanamuwasha hatulii sehemu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Vichwa vya habari kesho kuhusu tukio la leo

    Nipashe mkuu wa mkoa wa Dsm afanya kazi ya tume ya uchaguzi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Rais amesema kwa kinywa chake kuwa kuwa mgogoro wa Tanesco na Iptl ulikuwa kituo cha usuluhishi migogoro kule Uingereza.msuluhishi yule aliwashauri wakae wachambue na kufanya malinganisho ya madai yote then warudishe taarifa kwa msuluhishi,hilo halijafanyika.pili kituo kile au mahakama hiyo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Utouh: Dalili za nchi kutotawalika zinaonekana

    Ndugu zangu.mimi ni mgeni sana hapa JF naombeni niwasalimie.kipindi hiki ni kigumu sana kwangu.nimekuwa kama nimechanganyikiwa kupima uwezo wa rais kutawala nchi.uwajibikaji kwa kiongozi yyte mwadilifu hautakiwi kuambiwa.jambo au kashfa inapokugusa kiroho safi kaa pembeni upishe uchunguzi.
Back
Top Bottom