Recent content by Dioniz Osetha

  1. Dioniz Osetha

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Mei 13, 2016. Suala la TBC kutoonyesha bunge latawala

    Wewe unacheza kweli. sasa vijana mpaka hizo pesa ziwafikie wajiunge na useremala wahitimu watengeneze madawati ya kutosha shule zote zenye uhaba wa madawati unadhani ni leo? muda wote huu, wanafunzi wanakaa juu ya mende au? shule zifungwe na zifunguliwe za mafundi seremala kwanza? Acha hizo wewe.
  2. Dioniz Osetha

    Wema Sepetu aliwa Denda Movie Mpya

    Jamani wana JF NAOMBA MSAADA Natarajia kuoa mnamo mwezi wa Tisa. Naombeni michango yenu ndugu zangu, Baba na Mama zangu, Natafuta milion moja kwa ajiri ya kulipia mahali uko Iringa Uheheni. Naomba michango yenu ndugu zangu wapendwa na Mungu atawaongezeapale mtakapo toa Nawaombea mafanikio mema...
  3. Dioniz Osetha

    Wema Sepetu aliwa Denda Movie Mpya

    Hapo jibu sina kwakweli
  4. Dioniz Osetha

    Uvunaji wa mafuta na gesi katika kisiwa cha Lathan umepata ridhaa ya Zanzibar?

    Wewe kichwa chako empty . Mali za wazanzibar ni mali ya watanganyika ndo maana tukaungana. Kisiwa kikijaa maji one day utakuja kimbilia bara tena kwangu na utapata msaada, acha kujitanganya wewe
  5. Dioniz Osetha

    Uvunaji wa mafuta na gesi katika kisiwa cha Lathan umepata ridhaa ya Zanzibar?

    Sasa kama zanzibar si nchi ni nini? Basi ni mbingu. Maana wengine mna matatizo ya kuwaza. zanzibar ni nchi bwana
  6. Dioniz Osetha

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Mei 13, 2016. Suala la TBC kutoonyesha bunge latawala

    Hapana siyo hicho tu sema hapo kuna lugha gongana kati ya mtoa swali na mtoa jibu. huyu kauliza kuhusu wanafunzi wanao kaa chini wakati wa vipindi akimaanisha awana madawati ama siti za kukalia. Lakini mwenye majibu kasema serikali imetenga milion 228.5 kushughuikia suala hilo. Lipi? hajui...
  7. Dioniz Osetha

    Huwezi Kuamini: Sukari iliyoagizwa na Serikali nayo Imeuzwa kwa bei ya Kuruka!

    Hii balaa sana! Kama serikali inaagiza sukari na mamlaka anapewa Mhindi kuuza hapa kweli kazi tu. Maana mpaka hapo sisi watanzania hatuaminiani tena anayeaminiwa ni mhindi toka India. anyway Hiyo sukari ilikuwa kiasi gani. Maana wengi sana ,niseme Tanzania nzima tunatumia sukari sasa kama...
  8. Dioniz Osetha

    Maji ya bahari ya Hindi yaibukia Mjimkongwe Zanzibar na soko kuu la Darajani

    Jamani naomba tuheshimiane japo kidogo. Kuwa watu wa bara tusiitwe MIJITU YA BARA tunajijua kuwa tumetoka bara na hapa ni kutafuta maisha tuu. Hata wewe unayesema hivyo bara utaenda hata kama mzanzibar sawa? Naipenda zanzibar na bara pia naipenda
Back
Top Bottom