Recent content by dinosour

  1. D

    JamiiForums Tanzania Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    mbinu za magamba hazivumiliki™™
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    ziko wapi?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    tafadhari kama mtu anavunja katiba yetu sio wa kumchekea!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Serikali haitaanzisha Mahakama ya Kadhi

    watu wanataka kuvunja katiba ya nchi tunachekea tu!!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Naona magamba wanataka!!! asipate afya!!! live long gwajima.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakristo Wapo KKKT Kanisa Kuu Dodoma Wanamjadili Kikwete sasa hivi

    Tupeni data. jamaaa haeleweki na huku kwetu anajadiliwa!!!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi: Wabunge wafanya vurugu wakati wa Semina

    kuvumiliana misingi ya binadamu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    vijana wa UDSM ni wasaliti mno pia wanaongoza kwa kutoa mafisadi.
  9. D

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    kweli UDSM inatoa mafisadi na wasaliti tu!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Pengo: Nimesamehe

    pengo anatakiwa atuombe msamaha sisi WAKRISTO KWANZA!!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    ZITTO umeingia kwenye sinema ya ajabu!!! hivi unao washauli wako juu yq masuala ya kisiasa?? huoni kwamba mpango wa kuingoa CCM haitawezekana kwa sasa? maana umeanza kukijenga chama!! kwa hiyo kwa 2016..tutapoteza!! kwa kua vijiji viwatambue sio leo wala kesho!!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    We mwenyewe sio great thinker!! kwa hiyo wanaosoma shule za kata hawafai kabisa na sio thinker!! mkikosa vya kuongea tulia unaitukana TZ hivi hivi!! kuwa makini..
  13. D

    JamiiForums Tanzania Live updates: Uzinduzi rasmi wa ACT-wazalendo - Diamond Jubilee Hall

    Naona kuwatoa mafisadi hakupo tena!!! mmeungana na TLP enzi hizo ..ACT kuwatoa watanzania haiwezekani!! haitatokea ila tuungane kwa pamoja pasipo chuki tuwangoe MAGAMBA.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zito ni jembe

    WaTZ wana mambo ya ajabu sana!!! zitto anasimamia kile watu wanahitaji!!! hatufuati chama tunafiata watu!! zitto kabwe sio kwamba yeye ndo bora kupita wengine!!!! kuna mashujaa nchii ambao wanastahiri tuzo lazini hawapewi... acheni mambo yenu!! kuwa makini..
  15. D

    JamiiForums Tanzania Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    polisi msituletee mambo yenu hapo!!!! hizo propaganda za kitoto!!! ole wenu gwajima apoteeee!!! au atoloshwe!!! tunataka alindwe kabisa..ole!!ole ..
Back
Top Bottom