Recent content by Dingilee

  1. Dingilee

    SoC04 Tanzania yenye uchumi jumuishi/uchumi wa wote

    Tanzania tuitakayo ni ipi?, kwa maoni yangu Tanzania tuitakayo ni Tanzania yenye uchumi jumuishi. Yaani aina ya Tanzania yenye uchumi utakaomjumuisha kila mtu bila kujali umri, jinsia, rangi/ukabila, elimu, jiografia, historia, ulemavu, au sifa zingine. Ni aina ya Tanzania ambayo uchumi wake...
  2. Dingilee

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Sababu kiuhalisia wanaopigania serikali tatu ni wanasiasa tu, wanalinda vyeo na madaraka yao. Mfano ukienda zanzibar, ukaangalia mikoa na wilaya zilivo ni usanii tu, kutoka mwenge hadi ubungo mataa tayari ni mikoa miwili na wilaya zake, zenye mamlaka kamili. Mimi kwangu ni usanii tu huu wa...
  3. Dingilee

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Mamlaka moja tu inatosha, wengine wote tuwe chini ya mamlaka hiyo.
Back
Top Bottom