poleee ila elewa sio wanaume wote kuwa wapo hivyo.. hapana hiyo ni tabia na huruka ya mtu mmoja mmoja na malezi alio lelewa... usilaum wanaume mlaum mwanaume wako
swala la kibiti linahitaji maamuzi magumu,, mimi binafsi naiomba serikali imaue kitu hiki,,, kwakuwa watu wanaouawa ni viongozi wa serikali nafikiri serikali iondoe viongozi wake wote kisha ifunge vituo vyote vya polisi ili tuone nini kitaendelea,, kama mauaji yatakoma basi mahitaji yote ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.