Mi mwenyewe namshangaa huyu mwanamke kwa kweli maana mtoto mwenyewe ni wa kike na mzuri sana tu shida msichana wa kazI inabidi kumpangia chumba manaa kwa sister kumejaa.
Nilikuwa na wazo kama ilo ila nilivyompeleka kwenye izo day care kila mtu akimuona anataka elfu 50 kwenda juu mi mwenyewe siko vizuri kwa sababu hata kazi muda mwingine inabidi nisiende kwa iyo imeni cost sana kiuchumi
Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu.
Sister yeye ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.