Habari wana JF wenzangu, mwenzenu ni nina shida nahitaji msaada wenu, nimehitimu mwaka jana Ordinary Diploma ya Electronics and Telecommunications pale Arusha technical college.
Nimeangaika kutuma application za kazi lakn sijapata kitu. Kama kuna yeyote anaweza kunisaidia.Naomba msaada wako...
Habari za leo wanaJF,natumaini wote ni wazima
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,natafta kazi ya u-technician katika kozi ya electronics and Telecommunication,
nimemaliza mwaka jana,mpaka sasa sina kazi,
naomba msaada wenu,naweza kufanya kazi katika sekta mbalimbali 1.redioni 2. Kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.