nimetoka swanga last week kupo poa hata mimi before nilidhani kupo ovyo la hasha mji uko vizur mitaa imepangika vizur sana zaid ya tanga ila kwa wale wajasiria mali kama mimi ni mkoa wa kutoka utajir njenje nakushauri nenda na plan ya uwekezaji
Ni kwamba we need fairly election full stop mambo unayosema hapo juu hafanyi kazi kwa watz wa sasa mbona usemi rushwa na wizi wa kura mnaotegemea kwa kiasi kikubwa, kila siku mnasema manawachama 6m hawafi, hawaendi vyama vingine au hampati wanachama wapya kumbuka lowassa ni mtaji tosha kwa ukawa
Elimu bure matibabu bure yawezekana ni kujipanga tu vyanzo vya mapato vipo tena vingi tu mfano tukiwa na usimamiz mnzur kwenye madin bandar mazao ya biashara uvuvi kodi mbali mbali , utalii nk
Huyu lizibon mngse sana pumba kila wakati sijui anaishi nchi gani mfumo wa utawala wa chukua chako mapema sio rafiki kwa maendeleo ya taifa unafigisufigisu nyingi sana viongoz ndio wa kwanza kulindana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.