Recent content by dikupatile jako

  1. D

    JamiiForums Tanzania Askari Mstaafu aliyekuwa ananyonga watu Gereza la Isanga-Dodoma

    VP wana jamvi je MTU huyu kwa mungu ana dhambi au vitabu vitatifu vinasemaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hata kama Lubuva angemtangaza Rungwe,matokeo yasingepingwa

    Hata angejitangaza mwenyewe kuwa ndiye mshindi Wa uraisi 2015 matokeo yasingepingwa na angekua rais wetu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

    Piga namba hii 0719100100 utapata msaada Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Makonda leo clouds habari

    Unafiki tu hao wanajuana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wenye damu kundi O huwa hawana risk kubwa ya magonjwa ya maambukizi? Hasa ya magonjwa zinaa?

    Sifa nyingine za MTU mweny group o .1mwanamke hushika ujauzito kwa wepesi pia mwanaume husababisha mimba kwa haraka.2kupata maradhi ya kuambukizwa kama HIV ni vigumu mno.3endapo akiambukizwa HIV kwa kua ana kinga imara maradhi nyemerezi hayamsumbui mara kwa mara Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bulendu: Haya ya Kenya hata katiba ya Warioba ilipendekeza ila watawala wakadadili watakavyo wao

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bulendu: Haya ya Kenya hata katiba ya Warioba ilipendekeza ila watawala wakadadili watakavyo wao

    Wanajamvi kwa nini ccm hataki katiba mpya au kumalizia kipolo chao kilichoandaliwa na chama chao? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania Daudi Mwangosi; Miaka 5 ya Kifo Chake Kumbukumbu yafanyika Mwanza

    Waandishi wa habari mjitambue acheni kujipendekeza kwa watawala bunduki yenu ni peni inanguvu sana kuliko bunduki za polisi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoongeza mishahara ni kielelezo tosha kuwa huu utawala unapuunza sheria za nchi

    Sasa HV vyama vyote vya wafanyakazi vimewekwa mfukoni kwa lugha nyingine vimeufyata Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta Akiomba Aombewe, Anastahili Tumwombee!

    Kweli kabisa anastahili kuombewa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania Je yupo kada wa CCM anaweza kufurahia urais kutenguliwa Mahakamani?

    Nimeami democrasia na haki ni gharama kubwa sio vitu vya kuchezea Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hawa walisherekea kifo cha Mwalimu Nyerere, leo wanamtumia kuutaka urais!

    Uongo ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom