Recent content by dikai

  1. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo vipi kuhusu continuing taharifa zao mbona kimya hadi sasa

    hv kweli hiyo laki 7 ya boom unaweza ukabakiza hela ya kumlipa mtu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kukata rufaa HESLB ndani ya siku 90

    3 lot ishatoka tayar
  3. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    vyuo vya ualim km butimba ndo bora coz kwanza ndo vyuo maalum kwa hiyo elim hv vyuo vikuu wanaweka ili kuongeza idad ya wanavyuo pili vyuo vikuu vipo after money tatu vyuo vikuu vina wataalam wa degree ila vyuo vya ualim ni wataalam walosomea kitu unachoenda kujifunza nne vyuo vikuu vimejaa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    vyuo vyote vya ualim vinafunguliwa kesho tareh 9/11
  5. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    kule ni chuo sio km olevel kutesana kule kila mtu anamuheshim mwenzie awe mdogo au mkubwa kitakachokutesa ni mfuko wako maana kule kuna watu wana hela za hataar kwo km hauna kitu mfukon hata dem hutokaa umpate, hata ukitoka nae kwenu utanyanganywa
  6. D

    JamiiForums Tanzania "mtihani wa private candidates"

    mtihani ni ule ule ccta, pc& sc wanapiga paper 1 na grade ni zilezile
  7. D

    JamiiForums Tanzania "mtihani wa private candidates"

    nimezipitia coment zenu wengi mpo sahihi na mna mawazo mapana ila siku hizi pc hawafail km zaman mfano mzuri ni mimi hapa nimerudia mtihan wa kidato cha 6 mwaka huu na nimepata matokeo mazur sana na kiujumla kituo chetu kilifaulisha karibia watahiniwa wote kwani tuliofanya mtihan tulikuwa 24 na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania NEWS: UDOM batch 3 imetoka tayari.

    asante mkuu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    mbona zipo lakin majembe hatuzifuat hasa hiyo ya kutoka na sare ya chuo na rokoo za weekend
  10. D

    JamiiForums Tanzania NEWS: UDOM batch 3 imetoka tayari.

    jina benedicto domician coz guidance & councelling
  11. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    vp umemaliza 4m 4 mwaka gan
  12. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    poa mi nilitaka nijue lini mnalipot maana tuna ham sana na hao 1st year
  13. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    mi niko bunda ttc naingia mwaka wa 2 ila butimba mazingira yako fresh na sheria za pale hazitofatian na za bunda kias hamna complication ni wewe tu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Butimba Teachers College

    butimba umechaguliwa diploma ya awali au primary na je tareh ya kulipot lini
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

    kweli bro upo sahihi kabisa,lakin je nani aanze swali liko hapa
Back
Top Bottom