Kwani Luhanjo na Amon nao wamehamia CHADEMA? Hilo eneo tumekuwa tukicheza mpira hapo ila vigogo wakaona watoto tunafaidi na wao ndio wanamatumizi nalo wakatufukuza. Avunjiwe tu na mwingine yeyote aliyevamia open spaces no matter who..... tumechoka. Mtu hana huruma, majumba kila sehemu na bado...
Tatizo jamaa kagusa maslahi yao so lazima wamkomeshe, unaambia babu kamuweka demu wake kama mhasibu. Akitaka hela tu anachukua anavyotaka, sasa Zitto anataka CAG aende unategemea nini hapo. Ajiangalie watamCHACHAWANGWE ila nakumbuka jamaa alishasema kama kifo chake kitatokana na mtu basi hata...
Tatizo Mbowe, Lema, Sugu ni mamburura. Hawakwenda shule ila wana uchu wa madaraka. Wanamuona ZZK ni threat kwao katika kufikia wanachokitaka. ZZK hakurupuki ni miongoni mwa gifted kwakweli. Kuna vitu vingi amefanya ambavyo vimeleta mabadiliko katika nchi. Swali la msingi kujiuliza.......... Lema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.