Recent content by Digitalpatriot

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kamati ya Amani ilikaa kimya wakati watu wetu wanauawa na kuteswa

    Viongozi wa kiroho muwe kweli Manabii (wa kweli), Wafalme (wa kweli) na Makuhani wa kweli wakati wote na kwa kondoo wote wa BABA hata nyakati ngumu. Msielemee upande moja. HAKI ndicho kitu cha kwanza, AMANI itafuata palipo na haki. Mungu Baba ndiye aliyetuleta Tannzania (Tanganyika) sisi wote...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Shaka atoa somo kwa vyama vya siasa nchini

    We, kawaeleze wenzako hawa mliokaa nao. Haya hayatuhusu. Kumbe unaweza kumtoa mtu shamba lakini kumtoa ushamba kazi kweli kweli
  3. D

    JamiiForums Tanzania Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

    Freeman Aikaeli Mbowe, among very few Political Parties Chairperson that are sensible, worth listening, stand by their words, considerate, democratic, to mention only the few
  4. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

    Ukimbizini haapokei wanaodaiwa, bali wanaotishiwa kuuawa na madikteta uchwara wa CCM
  5. D

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

    Usitake kututoa nje ya mada. Acha upuuzi wako na tumia akili.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

    Ndugu yangu, mbona wahangaika sana? Uchunguzi utasema iliyo kweli. Hofu yako inaanzia wapi?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

    Hofu yako nini? au nawe una interests zako. Hili la Sabaya, hata mtoto mdogo mwenye akili inayoweza kujitegemea analiona kuwa huyu alikuwa kiongozi wa aina yake kuwahi kutokea-uadilifu =0, uongozi=0, haki za binadamu=0, uungwana =0.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado inahitaji Rais kama Hayati Dkt. Magufuli

    Sasa tunaye zaidi ya JPM, yaani Mhe. Samia Suluhu Hassan. Unasemaje???
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

    Tembea na tumia akili uliyojaliwa na Muumba wako. Acha kuvalishwa kifuu cha nazi mbovu wewe
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

    Jamani Morogoro tumeishiwa. Hiyo ndiyo kero yenu kubwa? Mbuge wetu kasimama eti hana jingine la kuwasemea watu wake. Kura zetu zimeharibika jamani.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Mbowe siyo mhasibi mkuu wa CHEDEMA, toa uozo wako hapa au kachambe kwanza
  12. D

    JamiiForums Tanzania Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

    Ndugu yangu Mwigulu alitokea kuwatungia watu kesi ya aibu ya "UGAIDI". Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ikamtimua kwa kumwambia atafute shitaka lingine, kwani hapakuwa na Ugaidi Tanzania. Huyu si mtu mwema hata kidogo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Wewe ulizaliwa bila kichwa.Madaktari wakajitahidi kukuweke fuu la nazi
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

    Unapomzungumzia Freeman Aikaeli Mbowe, unapswa kuwa mtulivu. This is the only worthlistening political party leader in Tanzania. Her Excellency Samia Suluhu Hassan is as well a great Public Speaker.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijipendekezi kwa Rais Samia, ninachotafuta ni haki

    Mwenye akili, uwezo, uelewa mkubwa, anayelewa maana ya HAKI, AMANI na Demokrasia
Back
Top Bottom