Recent content by diggymkula

  1. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

    Everyone deserve a second chance....give him another chance kama hujapata mtu tayari...
  2. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

  3. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Kumbuka sheria haijaundwa ili kuvunja ndoa, bali ni kutatua matatizo ktk ndoa, lazima kuna sababu ya mke kuomba talaka. Na kama mali mlichuma wote lazma mgawane. Bt kama alikukuta nazo, hakuna kugawanywa.
  4. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa hakuna jinai kweli

    Pumba tupu,una ushahidi gan?...
  5. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali;Nichukue hatua gani za kisheria?

    Imekula kwako ndugu..hapo hakuna mkataba.....Note.all contracts are agreement,BT not all agreements are contract...
  6. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu Mirathi kwa Mjane

    Hapo kwanza...ungetufahamisha mambo yafuatayo bro 1.ndoa ya baba na mama no ya kanixani,kimila,kiislamu 2.baba aliacha urithi 3.Baba amekua akiishi maisha gan?kidini au kimila.... Zaidi kaxome sheria ya ndoa ....... matrimonial property Division...
  7. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Hivi Ukifumaniwa na mke au mume wa mtu, unashitakiwa kwa kosa gani?

    Adultery....Ila ni vigumu xana kuthibitisha fumanizi...kama unaushaidi wa kutosha... Sheria ipo... Law of Marriage Act...
  8. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Wasanii wenye vipaji ila sura za kimasikini hawa hapa!

    Pumba....
  9. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Napata wasiwasi kuhusu "UZALENDO" wa wana "UKAWA"

    Nionavo mimi UKAWA hawakupaswa kukimbia bunge kwani... Watanzania, tuliwategemea xana. Kweli wametuangusha....
  10. diggymkula

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Chalize na kile tutakachojifunza!

    CCM No.One....
Back
Top Bottom