Recent content by Diego silva

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwafanya wadada wa kazi kama ndugu hawadumu, ila ukiwaendesha kama chuma cha Mjerumani utakaa nao miaka?

    Ni kama mademu ukiwa mwema sana kwako wanakukimbia. Suluhisho tafuteni mahouseboy
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kweka na Jane wote ni wamachame movie inaanzia hapo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mambo mabaya yanasemwa kuhusu Mwamposa

    Hiki kizazi Cha hovyo sana, kipo bize kuangalia clips za x kuliko mambo ya msingi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

    Sasa hospital ndio tunapewa azuma dadaangu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mudathir jitafakari bro, umekua slow sana hii ni Yanga

    Goli la sele jana assist alitoa nani vile wakuu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Chadema msidanganyike kumpokea Yuda, huyo ametumwa kuja kukivuruga chama.

    Hata wasipompokea bado chadema ni dhaifu tu. Na hata ikiwa strong haisaidii pia maana siasa ya nchi yeti bado haijadevelop kiivyo hasa kwenye mambo ya uchaguzi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    Wameweka mifumo kwa ajili ya kusaidia wanawake, watoto wengi wanalelewa na mababa sio wao sababu ya ujanja ujanja wa mama zao
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kabila la Wameru ni watu wabinafsi na wakorofi sana

    Mkuu haujakutana na wapare
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wachinjanji wa wanyama, si busara kuchinja mnyama wengine wakiangalia mwenzao akichinjwa

    Umchinje bila maumivu? Kama unataka asipate maumivu usimchinje kabisa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mungu akituchoma moto waafrika itakua double punishment hapa kwenyewe tunaishi jahanamu tayari

    Mwili ushaoza na kuliwa na mafunza imebaki mifupa, mwili upi utaochomwa?
  11. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

    Jf ya siku hizi watu Wana upeo mdogo sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

    Alishakua diwani, anakubalika kigoma
Back
Top Bottom