Recent content by Diego Samaki

  1. D

    Kisa cha Adam Mchomvu kumuumbua Fid Q kwenye Interview ni nini?

    :A S-frusty2::A S-frusty2:hahahah!!!
  2. D

    Kim Kardashian

    Mimate imemjaa Mr. Polisimani
  3. D

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    FaizaFoxy hizi ishu zinafanana, Kurasini ni mradi unaolazimisha watu wahamishwe, Chamazi pia kuna mradi unaolazimisha watu wahamishwe, ishu ni mradi unaopelekea watu waondolewe katika makazi yao ya kudumu na sio barabara ama bandari kavu. kwahivyo suala la kurasini litajitokeza mara kwa mara...
  4. D

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    Ahsante Mkuu, sasa hii ni serikali, tunawezaje kuwakataa..!!Kama sijakuelewa hivi.
  5. D

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    Habari zenu wakubwa! Nimeambiwa kuwa Jamiiforums ni mgodi wa habari na maarifa. Nikaona nije ili nipate kuvuna kinachopatikana ndani ya mgodi huu. Mimi ni mkazi wa Chamazi, maeneo ya Mfenesini japo sina muda mrefu maana nimehamia kutoka Kurasini tulipolazimishwa kuhama na Mradi wa EPZA...
Back
Top Bottom