wadau.
Kuna taarifa ya kuwa muda wako wa maongezi unakarikiba kwisha ambayo Tigo wanasema pale ukibakiza dakika moja kwa maongezi. Ila taarifa hii uwaga inakatiza mawasiliano na inaleta usumbufu sana.
Tigo tafadhalini badilisheni namna ya kutoa taarifa ya kwisha kwa muda wa maongezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.