Nchi 2na chukua asubuhi na mapema amna mpinzani wa kuchukua nchi ccm mwaka huu mwisho 2me choka kod zote 2na lipa amna mnacho fanya zaidi ya barabara barabara zenyewe chini ya kiwango zaidi mna jinasi na familiy zenu wananchi wacheche twaumia 2me choka yatosha mkombozi we2 kaja kila ki2 kod...
Fanyeni yenu hawa wahindi wame zidi sana sijui kwa vile wamekamatia serikalini mkono nd'o maaana wanakuwa na jeuri kiasi hicho cha msingi msi uze gari zao ila mizigo zawadi yenu na vifaa vidogo vidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.