Recent content by Dickson Ng'hily

  1. Dickson Ng'hily

    Ukweli kuhusu jaribio la Udukuzi wa Kurasa za Mitandao ya Kijamii ya MISA Tanzania Julai 28,2025

    Kwa miaka mingi, MISA Tanzania imekuwa ngome ya uhuru wa vyombo vya habari na nguzo ya haki katika kusimamia misingi na maadili ya taaluma ya habari nchini. Imehudumia wanahabari kwa uaminifu, ikisimama kama dira ya kitaaluma na chombo cha utetezi wa msingi wa demokrasia. Hii ni taasisi...
  2. Dickson Ng'hily

    Msaada wa tiba ya malengelenge eneo la kiunoni mpaka kitovuni

    Vyovyote iwavyo, kama ni wewe au ni mwingine, ushauri wangu ni kwenda hospitali ambapo vipimo na matibabu sahihi vitapatikana. Inaweza kuwa ni tatizo tofauti na vile linavyoonekana, hivyo ushauri wangu kwanza ni vipimo kisha matibabu. Kilanla kheri.
  3. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    I appreciate your emphasis on the importance of evidence and the high moral standards expected of religious leaders. My intention in this piece wasn’t to cast judgment, but to examine patterns within ecclesiastical decision-making that often go unexplained. I believe open, respectful dialogue...
  4. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Thank you for your thoughtful reflection. I share your concern that when courageous voices like Bishop Kilaini's are sidelined, the Church risks losing its prophetic edge. Encouraging open, honest dialogue, especially from within; should be seen as a strength, not a threat. A Church that...
  5. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Thank you for sharing your thoughtful perspective. Indeed, when considering Bishop Kilaini’s trajectory, it’s important to integrate all dimensions, including the concerns you’ve raised. While his academic and pastoral contributions remain widely respected, it’s equally true that public...
  6. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Na mimi ningesema sikujua kama zina 'wingu zito' 😆 😆 😆...
  7. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Mkuu, sijaandika kwa mkakati wowote maalum, after all tayari amestaafu; na umri wake hauwezi kumruhusu kurudi kwenye nafasi za uongozi. Na kwa kusema ukweli, mimi ni mtu wa kawaida sana tu; ninaweza kuwa na mkakati gani dhidi ya taasisi kubwa kama Kanisa Katoliki?
  8. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    🤣 🤣 🤣 hiyo aya ya kwanza imenifurahisa na hasa kwa sisi ambao tunatoka familia duni..Hahaha hahaha...Anyway, shukrani sana mkuu.
  9. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    🤣 🤣 🤣 Asante sana Kiongozi....Bado upo sana tu....🤣 🤣 🤣
  10. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Asante kwa maoni yako. Napenda kusema kwa heshima na taadhima kwamba katika uzi wangu sikuzungumzia sakata la Escrow maana nililenga zaidi kuangazia upande fulani wa maisha ya Askofu Kilaini. Kwa mantiki hiyo, nilijikuta nashindwa kuelezea kwa kina kila tukio alilohusishwa nalo. Hata hivyo, hili...
  11. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Nimepata pointi yako, na kiukweli sina uhakika kama alizirejesha, maana hakuna taarifa za wazi au rasmi zinazothibitisha hadharani kuwa alizifanya hivyo. Inawezekana alitimiza ahadi hiyo kwa faragha, lakini mpaka sasa hakuna rekodi yeyote kwa public inayothibitisha hilo. Asante kwa mchango wako 🙏.
  12. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Yes, that’s right! His mention in the Tegeta escrow scandal might have played a role in the circumstances that eventually led to his demotion. It certainly drew considerable public and political attention at the time.
  13. Dickson Ng'hily

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Thank you for sharing your candid thoughts, it's clear your perspective is rooted in deep concern for integrity within the Church. While I appreciate your effort to be sincere and fair, especially in acknowledging both strengths and shortcomings, I believe every leader, including Bishop Kilaini...
Back
Top Bottom