Recent content by Dickson Alex

  1. D

    Natafuta bajaj used aina ya tvs

    Natafuta bajaj aina ya tvs iliyo katika hali nzuri tuwasiliane kwa namba 0719636048 ukiambatanisha na picha whatsapp.
  2. D

    Mtihani mwema kidato cha sita,all the best

    Easy 4 them wakati nawe n mmoja wapo.
  3. D

    Lap top hp inauzwa!

    Taja bei.
  4. D

    Msaada kwa anayefahamu sociology!

    Natanguliza samahani,kuna m2 amepangwa hivyo kama wewe na mshua wake anapiga HESLB ameniambia hajapata kitu,yani katoka kapa na kuhusu kazi mara nyingi ni ustawi wa jamii.
  5. D

    News alert:another updates from heslb.

    ila kwa maoni yangu kutoa majibu ya waliopata mkopo sio kesho wala kesho kutwa sababu kuna wakina MUHAS walioongezewa muda wa maombi ya faculty ya enviromental health na dead line yao ndo kesho.
  6. D

    Tcu naona kuna mopya

    wanaanika matangazo yao nini!,maana ndo kawaida yao utasikia wana extend muda wa watu wengine tena wa application.
  7. D

    Kuripoti Dit

    Duh!,nyie DIT kureport ni baadae sana cjui tarehe 22 mwez wa 10,kuchelewa huko ni kutokana na kampeni za uchaguzi chuoni hapo.
  8. D

    Uliomba mkopo? Soma hapa..

    nusu ya mkopo wako utaishia huko,ila siyo mbaya c utaulipa 2.NDO MAANA UKAITWA MKOPO.
  9. D

    Wahaya wote inawahusu!!!

    Nkugambilee...wazo zuri ila suala la elimu liko wazi Tanzania nzima tatizo ni umasikini na moyo binafsi wa kujituma.Wahaya mnaweza mkawapondea sana...ila vzur mkuu alishakaribisha sana kwani alijua majungu yapo,alafu lingine n kwamba huwa hakuna Ukabila miongoni mwa mmoja wetu ila kila binadamu...
  10. D

    Uliomba mkopo? Soma hapa..

    Pokofame,ndo ushapata mwenze2 uncle yupo hakiharibiki kitu..nadhani ushajijua status yako.
  11. D

    Msaada: Upatikanaji wa Hostel Ardhi university.

    kusema kweli total number of students tuliopangiwa Ardhi ha2zidi 1,100.Na pha nasikia hata pale Ardhi hupangwa Mabibo hostel.
  12. D

    Bodi ya mikopo kulingana na sheria 2012/2013,soma uwe na msimamo.

    kuna repoti niliyoipata kwa mwalimu wa Chuo cha UDSM idara ya COET kwamba wameanzisha mfumo wa kutoa mia kwa kupokeza mwaka hadi mwaka katika kozi za uengineer,yan Eg.Civil wapewe 100% mwaka fulani alafu coarse nyingine wapate lakini sio guaranteed kila mtu atapata 100% wengi watapata...
  13. D

    Bodi ya mikopo kulingana na sheria 2012/2013,soma uwe na msimamo.

    akhsante sana mwanaJF,maana mi natumia simu nadhani inaweza kuwa sababu ya hitilafu hiyo.
  14. D

    Bodi ya mikopo kulingana na sheria 2012/2013,soma uwe na msimamo.

    Fuata link hii na uisome kiumakini ili kuondoa mashaka na tetesi za mitaani. konahabari.blogspot.com/2012/04/utaratibu-wa-mikopo-kwa-wanafunzi-wa.html?m=1
Back
Top Bottom